Je wajua simu yako inaweza kubana bando ukifanya yafuatayo?
Hatua za kufanya simu yako isitumie bando vibaja.
Nenda kwenye Setting ya simu yako (bonyeza alama ya setting)
Bonyeza "Connections"
Bonyeza tena "Data usage"
Bonyeza "Data Saver"
Turn On now (bonyeza weka data saver on)
Kwa kufuata hatua hizo utaifanya application nyingine zisitumie data bila ruhusa yako.
Furahia matumizi ya internet kipindi hiki mabando yamepanda, Subcribe ili uwe unatapata habari mpya za technologia tutakazo kuwa tunaandika kwenye blogu yetu, pia usisahau kutembelea ukurasa wetu wa instagram na kusubscribe @mcandis_tz